"Utamu" Dainos tekstai
„Utamu“ tekstai yra kirundis kalba.
„Utamu“ reikšmė kilusi iš kirundis kalbos ir šiuo metu nėra konvertuojama į anglų kalbą.
Sat-B presents the official video to
Utamu , featuring Belle 9ice.
Available to stream / download:
Lyrics:
Ona tumependana hadi twafana
Wameshauliza lini twaona
Imeshatokea mingi mitihani
Ila bado tuu twakazana
Jana nimepita kwa jirani
Akatupa jiwe gizani
Ati huyu ndiye yule binti mrembo aliyedata na penzi la msani
Mayi We Mayi We!
Hivi nani kakudisi nambiye ni dili nayeye
Honey we Honey we
Hao usiwape muda
Wanaume kama kina dada
Baby we mtamu!
Baby we mtamu
Baby we mtamu
Baby we mtamu
Baby we mtamu
Mtamu hadi napata wazimu
(X2)
I don’t need somebody
I just wanna Love you my baby
I don’t need somebody
I just wanna Love you my baby
Umwambiye Mama Natafuta Mali
Nitakuja kukowa eeeh eeeh
Nitakwenda kumpoza Daddy
Nimwambiye mambo bado
Apunguze makasiriko
Kwani maji yapo kwenye jiko
Honey wee honey wee
Icemezo naragifashe
Niwewe w’ubuzima bwanje
Ooh baby oooohhh
Baby we mtamu!
Baby we mtamu
Baby we mtamu
Baby we mtamu
Baby we mtamu
Mtamu hadi napata wazimu
(X2)
Hook:
I don’t need somebody
I just wanna Love you my baby
I don’t need somebody
I just wanna Love you my baby
My wee my weee
Hivi nani kakudisi
Niambiye ni deal nayeye aaah aaaah
Baby we mtamu!
Baby we mtamu
Baby we mtamu
Baby we mtamu
Baby we mtamu
Mtamu hadi napata wazimu
(X2)
©20
22 Empire Avenue